Site hosted by Angelfire.com: Build your free website today!

LINDA NYOTA YAKO

Hii tahajudi/meditation ni muhimu sana.  Ni lahisi kadri utakavyoifanya, utakapo weka ulinzi wa nyota yako na ndivyo itakavyokua na nguvu zaidi. Jinsi ya kufanya kama ifuatavyo;

1.tafuta sehemu iliyotulia ambayo haitakua na usumbufu, unaweza kukaa kwenye kiti au kukaa chini mkao wa kukunja miguu X, ukisha jiweka sawa fumba macho kisha vuta punzi taratiiibu, ukiwa unavuta punzi huku umefumba macho fanya kama unatazama jua {lile jua linalochomoza asubui au kuzana jion} inatakiwa uwe na uzingativu wa hali ya juu mawazo yako yote yawe kwenye kitu unachokifanya. Ukitoa punzi lifanye jua ninazidi kung'aa mpaka punzi inaisha. Kwa mara ya kwanza utaona kama ni ngumu ila baada ya mda mfupi utazoea na itachukua mda mchache.

2.baada ya hapo ongea maneno haya kichwani. 
"navuta punzi iliyojaa nguvu za ulinzi. hizi nguvu zinatengeneza nyota ya ulinzi kunizunguuka mwilini. Hii nyota inanilinda mimi kwa mara zote na kwa namna yoyote ile."

Sungumza haya maneno mara tano kila unapovuta punzi. Baada ya hapo endelea kutulia na zingatia katika kutazama jua na kuona linazidi kung'aa zaidi na zaidi.

Hii itaimarisha nyota yako pamoja na kukupa nguvu ambazo utazitumia katika maziezi ya mbele. 
Baada ya siku chache ya kufanya hili zoezi unaweza kusema hayo maneno mara 2 baada ya mara 5  kichwani, yani usitoe sauti. Endapo utaone nyita yako ipo imara.

Vilele unaweza ktumia nguvu za jua katika kulinda nyota yako. Nguvu za jua zina nguvu zaidi na endapo utafanya  hii fuata hatua ya kwanza jama ikivyoelezwa hapo juu ila kwenye kuongea manenon ongea kama ifuatavyo;

"navuta punzi iliyojaa nguvu za ulinzi kutoka kwenye jua. hizi nguvu zinatengeneza nyota ya ulinzi kunizunguuka mwilini. Hii nyota inanilinda mimi kwa mara zote na kwa namna yoyote ile".

Vilevile unaweza kuimarisha nyota yako kwa nguvu za jua endapo upo nje kwa kuvuta lunzi huku ukiwa unaskilizia nguvu zilizopo mwilini mwako. Ukiwa umetulia sehem iliyo tulivu fanya kama unahisi damu yako inatembea mwilini, mwanzo unaweza usihisi kitu ila jinsi unavyofanya mazoezi utakuja kuhisi, ukisha kua na uwezo wa kuona kama damu inatembea mwilini, basi ujue hizo ndo kuvu unazojitengenezea ambazo zitakuja kukusaidia mbele ya mazoezi. Hapa hutakiwi kutazama jua tena ila unaskilizia tu nguvu izo. 
Kwa upande wangu mimi sina haja ya kufanya tahajudi ila popote pale nilipo naweza kuzikusanya nguvu zangu na kuzitumia ninavyotaka.

Hizi nguvu haziji gafla mazoezi ninayofundisha ndiyo yanayozikusanya, wale wanaozaliwa wakiwa na uwezo wa kufanya miujiza basi wanazaliwa na nguvu izi na izi nguvu zinakaa kwenye nyota ukiwa nazo hakuna wakukusimamisha katika mamboyako.

Kitu kingine muhimu cha kufanya ili kujilinda mwenyewe na kuwa salama ni kuzungumza maneno ya fuatayo mara 5 mpaka 10 kila utakapoamka na kulala. "Kwa sasa nipo salama na kwenye ulinzi uliokamilika kwa hali yoyote"

Usije ukajiuliza uliza kuusu hili, inatakiwa uamini unachokifanya na usifanye kama maigizo. Nyota ya ulinzi vilevile itasaidia kusafisha nyota yako na kuondoa ngovu za kishirikina zote. Hii ni muhimu sana.

Unaweza ukafanya haya maziezi hata kama hujafanya ibada ya kujiunga na satan, ila haya mazoezi yanafanya kazi  100% ukiwa ushaajiunga na satan. 
Usizarau jitahidi kadri uwezavyo. 
Kutoka kwa kiongizi, 
[Higher Priest (HP), NSNOMA JYZARY].