Site hosted by Angelfire.com: Build your free website today!

[Mwanzo]        Rudi Table

 

[Jina Langu Yunusi - Varda Arts]

 

(Chorus)

 

Kwa jina mimi Yunusi

Peke yangu ninaishi

Nyumba i wazi roho nayo radhi

 

 

Yule anipendae karibu nyumbani(x2)

Msasani Beach Baharini Mikoroshini....Excuse me please

 

[Yunus]

Sasa hivi nimemuona kipenzi fulani, fulani

Ananipenda lakini anye fulani, fulani......

 

Kwa jina mimi........

 

Rudi mwanzo

 

[Tanzania - Varda Arts]
 
Ukiuliza habari
Salama Tanzania
Funga safari ya Tanzania Tanzania Tanzania
Salama Tanzania
 
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Tanzania
Wabariki viongozi na Watu wake 

Rudi mwanzo