Site hosted by Angelfire.com: Build your free website today!

[Mwanzo]

 

[Nakwenda Safari - Tancut Almas Ochestra]

 

Nakwenda safari, safari yenyewe ya masafa marefu

Najua hapa unabaki watasema mengi, pia wabaya wetu mama watafurahi

Lakini usisikie yao mama watoto

Nakwenda kutafuta maisha ya watoto wetu mama

Nitarudi kwa mapenzi ya Mungu

Tutaonana kwa mapenzi ya Mungu

 

(Chorus)

 

iyeye o mama iyeye

Safari sio kifo mama watoto

Subiri nitarudi mpenzi ee

 

[Mmoja wao]

Nikirudi mama nitakuletea zawadi

Nikirudi mama unipokee kwa mikono miwili ee

(Chorus Repeat)

 

Rudi mwanzo

 

[Butinini - Tancut Almas Orchestra]

kibwagizo

lililobaki nizibe masikio nifumbe na macho
kwani sitaki kusikia la mtu wala kuona
mwingine zaidi yako wewe Butinini

[Kipacha]
Butinini nimekuchagua wewe
Jane Butinini wa kufa na kuzikana Mama
oo oo oooo malaika wangu eee

[wote]
Lililobaki nizibe masikio nifumbe na macho
Kwani sitaki kusikia la mtu wala kuona
Mwingine zaidi yako wewe Butinini

 

Rudi mwanzo

   

 

[Kashfa - Tancut Almas Orchestra]

Kashfa zako na matusi yako kipenzi nikiyakumbuka machozi yanitoka

waliokushawishi sasa wakucheka wamekupa jina unaitwa mujinga

 

Rudi mwanzo

 

[Nirudishe Kwetu - Tancut Almas Orchestra] - tizedboy

(.)


Nikachukuliwa na yule bwana kunitorosha tutapele
Nami nikaenda kuishi naye Darisalam e tutapele
............
Nnakuomba bwana nirudishe kwetu eee
    Tutapele
Pele e pele moni ee
   Tutapele
Nimezaliwa na baba na mama
    Tutapele