[NAJUTA - Nyanyembe Jazz Band]
Likinda langu ni lenye rangi ya chungwa
Maringo yake na mwendo vinanikosha
Nachoka kabisa
KINACHONISHINDA:
Nyumbani kwao wamejia ukali
Nifanye nini ili wapate tulia
Nachoka kabisa.
CHORUS:
[NJEMBA]OOh usivunje ahadi, uliyonahidi dada
[WOTE]
Poa kaka kipenzi cha roho yangu ee
Ahadi yetu bado haitaweza vunjika
Mimi bado ni msichana mdogo
Tena bado sijamaliza masomo
Nenda nyumbani kwa wazazi wangu.....
[NJEMBA TENA] Ooh nakonda nateseka
Nifanye nini mimi iiiiii?
[WOTE]Poa kaka kipenzi........