Site hosted by Angelfire.com: Build your free website today!

Umefika na karibu kwenye ukurasa pekee duniani ulio na lengo la kuu-enzi Muziki wetu wa Tanzania. Yaliyomo ndani ni Maneno(Mashairi) na baadhi ya mafaili ya Sauti za Nyimbo zilizovuma nchini. Hatuna budi kuwapongeza wasanii wote Jabali Marijani(Mola amrehemu), Bichuka, Ngurumo, Dr. Remmy, Kalala, Fresh Jumbe, King Kiki, Mwanyiro, Nico Zengelaka, Eddy Sheggy, Juma Ubao, Zahir Ally, Kasaloo Kyanga & Kyanga Songa na wote.