Site hosted by Angelfire.com: Build your free website today!

[Mwanzo]    Rudi Table

 

 

[Tulu - B.A.T Jazz Band]

 

Mpenzi Tulu nasikia .....siku hizi umeanza oo

Mtindo wa kuzurura hovyo mjini.... mimi nashangaa

 

Nilipokutoa kwenu Tulu eee.... hata DUKANI huendi ooo

Huyo ni nani anayekufundisha ....Tulu nambie....

(repeat)

 

(Chorus)

 

[Wote]

Tulu mama mimi ninakukanya oooo

Hao wenzio bure wakudanganya ooo

Nikikuacha hao hutawaona ooo

Kukupenda wewe hiyo ni kama fitina yao

[Rudi mwanzo]