Site hosted by Angelfire.com: Build your free website today!

[Mwanzo] Rudi Table

[Nkana - Bana Maquis(Assosa)]

Nipe nafasi mwenzangu na mimi nijieleze Mama mama mama

Bila hivyo mwenzangu utakua umenionea

Punguza hasira chunguza kwanza  

 Jamani mie majivuno yote kwa wenzangu itakua vipi

Jamani mie niende wapi Mpenzi Nkana  

 Sitaki watu wafahamu matatizo ya mimi na wewe Mama

Maana tulipofikia na mapenzi yetu ni pazuri sana

Tusije tukaharibikiwa chunguza kwanza jamani mie

Niende wapi Mpenzi Nkana  

Jamani mie utakua umenionea Mpenzi Nkana

 Mpenzi Nkana  Mpenzi Nkana yoyoyo Nkana

Nkana sikia kilio changu

[Rudi mwanzo]

 

[Leila  - Assosa]


Oooh miemee, miemeee x2
Nataka tujenge mnara,
Kwa heshima ya mapenzi yetu,  
Usiache nafsi yangu mbali,
Na amani Leila,
 
Leila niko wako maamaaa,
Kama penzi liko moyoni,
Basi penzi langu kwako,
Ni kama pumzi zinazoweka,
Uhai mwilini mwangu,
Leila uko pekeee,
Moyoni mwangu eeeh,
 
Penzi safi mama,
Na dhati Leila,
Maama, maama aaah
 
 
Sebo, sebye, kizungunguzungu sendema, x2
Sendema ya moooooto!

[Rudi mwanzo]