|
|
|
Kazi ninayo fanya ni ufundi wa computer, kama software, hardware, Network Administrator, Email Administrator na mengine mengi kama kutengezena web sites, HF email server (Linux). Sasa nimefanya kazi hii kwa muda wa miaka minne katika shirika la SIL International. Emmanuel akiwa kazini.
Ukiwa na shida na computer yako wasiliana na mimi kwa kutumia simu hii 0744-848229 |